Kama unataka garden yako inoge iwe na muonekano wa kipekee ifikapo jioni basi tumia taa ya solar inajichaji asubuhi na kujiwasha jioni yenyewe na pia auna haja ya kutafuta fundi ni wewe tu kuwasha switch yake kisha unafunga na kichwa chake unaunganisha na fimbo yake kicha unachimbia tu kwenye garden yako unazipanga vizur basi hapo unakuwa umemaliza aisee izi taa nzuri sana ikitokea tatizo lolote utapewa mpya agiza nyingi uwezavyo bei ya hapo chini ni bei ya offa na ni bei ya taa 1 delivery tunafanya popote kwaiyo usihofu jinsi ya kupata