Nzuri kwa kusambaza maji mashambani kwa mfumo wa kunyunyizia kama mvua, kumwagilia mazao kwa usawa kwenye eneo kubwa, kupunguza matumizi makubwa ya maji ukilinganisha na kumwagilia mazao kwa ndoo au mfereji pamoja na kusaidia mimea kupata unyevu wa kutosha haraka.