Hii ni show case au tv stand ina urefu wa futi{6×1} ninzuri na kwa ubora na muonekano mzuri wa furniture muone shukuru furnitures uhudumiwe kwani nikijana mchapa kazi pia mtii kwa kila mteja nakikubwa zaidi natoa ushauri bule kabisa kabla huja hujanunua furniture zetu karibuni sana wateja na mungu awabaliki