Achana na sofa bed za mtaani zinazotengenezwa chini ya kiwango... Tumekusogezea sofa bed za kisasa na imara kwaajili ya kupata usingizi wenye utulivu kwa ajili ya afya yako...
Sofa bed zetu tunatumia materials imara ya mbao zenye dawa, pia tunatumia high fabric grade kwaajili ya kupata muonekano halisi... Piga simu sasa uweze kuweka order yako
Tunapatikana Keko & Mabibo... Tembelea account yetu kujionea bidhaa nyingi zaidi