Kama unaitaji godoro kubwa nene, unaitaji kuweka chini bila kitanda au unataka kuweka kitandani basi hii ni vitafoam furaha super
Size ft5*6 inch 12
Ubora wake ni wakiwango cha kati kama ni class basi ni class C
Nasema ukweli ili ujue unacho kinunua karibu
Huduma ya delivery inapatikana pia
Warranty miaka 2