Pata kitanda chenye storage kubwa ya ndani kinachokupa nafasi ya ziada ya kuhifadhi vitu muhimu huku kikifanya chumba chako kibaki safi na nadhifu.
Hifadhi mashuka, mablanketi na mito ya ziada
Linda vitu dhidi ya vumbi na uchafu
Okoa nafasi ndani ya chumba bila kuhitaji kabati la ziada
Mfumo wa gas lift hurahisisha kufungua na kufunga kwa urahisi