Kitchen cabinet milango mitatu pamoja na droo yake katikati, inafuti 4, hii meza ni kwa ajili ya mtungi mdogo wa gas ambapo unaiweka hapo kwenye ilo tobo kwa ajili ya kupikia kirahisi, alaf huko chini kwenye milango unatunza vitu vyako kama vile vyakula, vyombo na kadhalika, utaipata kwetu , PIA UNAWEZA KUTUFOLLOW INSTAGRAM, FACEBOOK & TIKTOK as