Furahia maisha na godoro la Vita Foam Furahia Super!
Ni godoro pendwa kwa familia, linalotoa usingizi mzuri na mgongo unaostahili.
Bei nafuu sana + dhamana ya ubora.
Size 4*6*6 kwa 145,000 tu!
Utalipia ukipata godoro lako kama tu ni mkazi wa dar es salaam kama wewe upo dar es salaam basi utalipia godoro likifika
Kwa mtu wa nje ya dar es salaam situmi godoro bila kulipia
Karibu sana
Huduma ya delivery inapatikana