Magodoro bora imara sana vitasupreme ni bora na imara sana pia inaponya maumivu ya mgongo
Sifa zake
Imedariziwa kwa kitambaa bora na nyuzi imara ambapo akifumuki ovyo
Imetengenezwa special kwa watu wote inasaidia sana wale wenye matatizo wa mgongo pia inalinda mgongo wako
Tunapatikana kinondon Biafra tupigie unaletewa mpka nyumbani malipo unafanya mzigo ukifika Free delivery kwa wale wa Dar