Jipatie kiwanja cha makazi pembeni ya chuo kikuu cha dodoma udom pembeni na shule ya msingi ng'ong'onha urefu wa kiwanja ni hatua 35 upana 20,kiwanja kimepimwa kipo karibu na barabara kuu, pia kipo karibu na hospital ya benjamin mkapa dodoma . kimezungukwa na nyumba, huduma zoote za jamii zinapatikana
Square meters: 500