Archive: Kabati saafi french style kwa bei nafuu sana ya laki na ishirini tu,
imetengenezwa kwa umahiri wa hali ya juu sana na ni mpya kabisa, sio zile zilizotumika .
ina uwezo wa kubeba vitu vingi sana na kuupatia muonekano mzuri wa chumba chako...
bei yake ni laki moja na elfu ishirini tu!
napatikana ubungo msewe,
whatsapp & calls
Kabati ya nguo ya ukutani ya hardwood (mbao ngumu)(mkongo/mninga) yenye ukubwa wa miango sita sawa na kipimo cha mita tatu...
iliyo fanyiwa finishing ya kupuliziwa stain kama inavyoonekana
Makabati ya nguo ni nzur na imara sana ni ya shelf za mbao ni ya canvas nje plastic joints imara delivery free dar mikoani tunatuma pia kwa gharama ndogo
Makabati ya nguo magumu na ya mbao ni nzur na imara ni ya shelf za mbao ni ya canvas nje plastic joints imara delivery free dar mikoani tunatuma pia kwa gharama ndogo
Kabati la kuhifadhia nguo lenye uwezo mzuri wa kukuhifadhia nguo kwa usalama mkubwa.
ni rahisi kulifunga na kufungua hili ni la mbao, plastic na kitambaa.
dar tutakuletea hadi ulipo free
Ni kabati imara na nzuri kwa muonekano wa kupendezesha chumba chako
=haichukui nafasi kubwa chumban
=rahisi kuhamishika
=panya,,mende hawawez kaa ktk ilo kabati kwasababu material yake ni kama sumu kwao
Wardrobe ni kabati za kisasa kabisa zenye material mazuri ambapo mende wala panya hawawez kaa ktk hilo kabti
=na pia ni rahisi kuhamishika na halichukui nafasi kubwa chumbn
Je unahitaji makabati ya jikoni yenye ubora
wa hali ya juu
follow account yetu upate kuona kazi zetu
bora na imara
@joyfurnitures_tz
tunapatikana keko bora dar es salaam
tunafanya kazi na kufika mikoa yote tanzania
tupigie
#trusttheprocess
Tunauza furniture za aina zote za majumbani na maofisini kama;-
#makabati
#vitanda
#sofaset
#tvtable
#coffeetable
#tableoffice
#kitchencabinet
tunapatikana kimara mwisho dsm kwa maelezo zaidi tupigie simu no au
#trusttheprocess👊
karibuni sana
Tunauza na kutengeneza furniture mbalimbali weka order ama chagua kutoka Katika picha ulizoziona Katika page yetu ya ama tutumie Whatsapp picha ya kitu unahitaji tukutengenezee
Tunapokea order na tunatuma mkoa wowote cheki namba kwenye bio, kwa walio mikoa ya karibu tunakutumia mzigo kwa gharama zetu binafsi.
WhatsApp/Call074*********
Cloth closet three doors where fabric is hard and easy to close.
Save a lot of money through this cupboard.
Dar es salaam free delivery
In the region we send by bus
kitanda cha mtoto mdogo wa umri kati ya 0 - 3 yrs .
✓pia ukitaka design tofauti na hii tunatengeneza
✓bei zetu ni nafuu
✓wasiliana nasi076*********
✓karibu tukuhudumie