Godoro Vitafoam Furaha Super:
Nzuri kwa bei nafuu na usingizi wa kawaida.
Lakini honest review:
Inachagua uzito mkubwa kama wewe na mpenzi wako nyinyi ni heavy, inaweza isidumu miaka mingi (si kama Supreme).
Chagua ikiwa uzito wako ni wastani.
Size 6*6* inch8.
Delivery: Nusu bei wewe, nusu mimi.
Karibu Tanzania yote