luxury bed – urembo na starehe ya kipekee!
unatamani chumba chako kiwe na muonekano wa kifahari na wa kisasa?
dar city furniture tz tunakuletea kitanda cha kisasa chenye rangi maridadi ya cream, headboard ya kipekee na muundo wa kuvutia unaoongeza hadhi ya chumba chako.
muundo wa kisasa na wa kifahari
rangi ya cream inayopendezesha chumba
headboard yenye muonekano wa kipekee
ubora na urembo sehemu moja
kinaendana na mapambo ya kisasa ya chumbani
chagua ubora, chagua urembo, chagua dar city furniture tz!
piga simu/whatsapp065XXXXXXX