Jamani. Hi combo ni Tamu hasa kwa wadada wanaopenda kunukia kitajili . Chukua hi utanishukuru Badae . Na Kama huwez kuchukua full box pia tunapima kwa mills na bei ni nafuu narudia Tena . Perfumes zenu ni Orginal na zinakaa mda mlefu sana kwenye nguo.