"dolby perfum" ni yenye harufu bomba ambayo sio kali(not strong) . Harufu inakaa kwenye nguo muda mrefu (long lasting ) 24HRS .
Imeundwa(viungio) ; kwa parfum , alcohol denat, aqua , citral ,hydroxy citronellal , linalool , methly propional .
mazingatio ; usipulize machoni , iweke mbali na watoto , usiweke kalibu na moto .
Imetengenezwa U.A.E ( united Arab Emmirates ) .
original kabisa
Gender: Men's,
Scent: Citrus