"Royal Mirage perfum " ni yenye manukato bomba(mazuri ) , isiyokera kwa mtu yeyote yule .
.
.Hii perfum inatumika na jinsia zote (kike na kiume ) .
.Pia inakaa muda mrefu kwenye (long lasting perfum ) .
.
.Inatengenezwa na kampuni ya "Royal Mirage " iliyoko U.S.A (marekani ) na ni original kabisa .
.
Gender: Unisex,
Scent: Floral