Kwa kawaida ustawi wa mmea hutegemea sana ubora wa kirurubisho kama Super Gro ambacho kina faida zifuatazo.
1. Kuongeza wingi wa mazao
2. Kuimarisha majani na kustawisha pia
3. Kupunguza gharama maana ina virutunisho muhimu sana kwa pamoja
4. Kukuza mmea kwa haraka
5. Kuhifadhi mmea hasa kipindi hiki xha jua kali
6. Kuongeza uzito w mazao
7. Kutunza ardhi kwani ni organic fertilizer
Kwa ushauri wasiliana nasi sasa uokoe mazao shamban