1. Huongeza wingi wa mazao 2. Huimarisha mmea na majani 3. Huifadhi unyevu kwenye ardhi 4. Huupa mmea afya na kukinga uvamizi wa magonjwa 5. ina gundi mahususi kusaidia jani kushika dawa 6. Hufanya zao liwe na uzito mkubwa 7. Hiana kemikali hivyo ni rafiki wa afya kwa binadami 8. Husaidia mmea kukua kwa wakati na kuokoa gharama