SUPER GRO Hukuza Migomba Na Kuzuia Fangus Aina Zote
Dar es Salaam, Kinondoni, 1 day ago
10 views
SUPER GRO Hukuza Migomba Na Kuzuia Fangus Aina Zote
+1
Other
Type
Kwa kawaida ustawi wa mmea hutegemea sana ubora wa kirurubisho kama Super Gro ambacho kina faida zifuatazo.
1. Kuongeza wingi wa mazao
2. Kuimarisha majani na kustawisha pia
3. Kupunguza gharama maana ina virutunisho vyote muhimu kwa pamoja
4. Kukuza mmea kwa haraka
5. Kuhifadhi mmea hasa kipindi hiki cha jua kali
6. Kuongeza uzito wa mazao
7. Kutunza ardhi kwani ni organic fertilizer
8. Huzuia fangasi na ukungu ambao hudhofisha mmea na kuua kbsa
Kwa ushauri wasiliana nasi sasa uokoe mazao shambani