Mbolea hii ya super grow inarutubisha mimea aina zote kwnza kabisa inaingia ndani ya ardhi mpaka tabaka la tatu na kuweka unyevunyevu pili inafanya uzalishaji mkubwa kama ulikuwa unavuna gunia mbili au tatu ukitumia mbolea hii utavuna kuanzia kumi na kuendelea pia unatumia kwenye mboga na matunda tatu inaua bakiteri wabaya wanaoshambulia mimea kuanzia kwenye majani na mizizi pia inaongeza uzito kwenye mazao yako na kupata mazao bora kabisa