Tegeta kwa Ndevu Bagamoyo Road Dar es salaam Tanzania
Open
• Mon, Tue, Wed, Thu, Fri, Sun, 08:00-19:00
Jipatie Madini Ya DCP mahususi kwa ajili ya kuimarisha Mifupa ya mifugo kama Mbuzi , ngombe. NGAMIA, FARASI,
Unachanganya kwenye Chakula wanakula
Inaimarisha mifupa
Huongeza kasi ya utagaji mayai
Ni nzuri kwa mifugo mingi
Tunapatikana Mbezi Beach Jogoo Madukani Dar es Salaam
Tupigie