Jipatie Broiler Starter Mash mahususi Kwa Ajili Ya Vifaranga Wa Kuku kuanzia Siku 1 hadi miezi 2 ili Waweze kukua vizuri na afya nzuri.
Chakula Hichi Kimezingatia Uwiano Sahihi wa Virutubisho ambavyo vinakidhi mahitaji ya Vifaranga
Tunapatikana Mbezi Beach Jogoo Madukani Dar es Salaam Tanzania