Hii ni bei ya Inche moja na nusu matumizi yake ni kwenye vitalu vya miche,vitalu vya miti,bustani za hoteli na lodges,viwanja vya shule,hifadhi za wanyama,kupoza mifugo wakati wa joto Kali, kunyunyizia dawa za majani na kuzuia moto maeneo ya mashamba.