Hii ni bei ya Inche moja kazi yake ni kuchuja uchafu kama mchanga, tope, majani, kutu, kulinda drip lines na sprinkler system zisizibe, kupunguza uharibifu wa mfumo wa umwagiliaji, kuongeza ufanisi wa maji na kufanya flow ya maji kuwa safi katika matumizi ya greenhouse na nursery, mfumo wa sprinkler irrigation na kilimo cha kisasa.