Hizi dam liners ni bora kwa ufugaji wa samaki na hifadhi ya maji kwa sababu ni ngumu imara na zinadumu kwa muda mrefu kulingana na ukubwa wake pia ni bei nafuu,hutumika kwenye kilimo, ufugaji wa samaki, mifugo na ujenzi wa miradi na mifugo Kama kuhifadhia maji kwenye mabwawa ya maji ya mvua na kwenye mifumo ya drainage.