Hizi filter hutumika kuchuja uchafu wote na takataka zote zinasababisha kuziba kwa drip lines na sprinkler system zisizibe na kupunguza uharibifu wa mfumo wa umwagiliaji na kuongeza uzalishaji mzuri wa mazao mbali mbali kama nyanya vitunguu mahindi nakadharika zinapatikana kwa size zote karibuni sana.