Nzuri kwa matumizi ya shamba zina inche mbili kwa inche tatu zinamwaga maji Lita elfu thelathini na sita kwa lisaa na kunyonya maji kutoka kwenye bwawa au kisima kwa umbali wa mitab saba na zina horse power saba kamili,Nzuri sana kwa matumizi ya shamba na bustani lakini pia katika sekta ya ujenzi au kilimo.