Hizi ni nzuri na zinadumu kwa muda mrefu na zinafaa kwa matumizi ya ndani na nje ni rahisi kufunga na ina uwezo wa kustahimili jua Kali na baridi,hazitoboki nzuri kwa ufugaji wa samaki na hifadhi ya maji kwa matumizi ya nyumbani,ujenzi na miradi mifugo na kilimo.