YTunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu.
(Maize sheller machine)
✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA)
✓Inapukuchua magunzi saize Tofauti Tofauti.
✓Hutumia umeme wa majumbani single phase (Ac)
✓Inahamishika kirahisi kutoka Sehemu Moja kwenda Sehemu nyingine.
✓Uwezo wa motor (220V)
✓Imeundwa na vyuma Imara hivyo hudumu kwa muda mrefu.
✓Inatumia umeme kidogo.
Bei 1,200,000/=TSH.
MAWASILIANO077XXXXXXX