Tunauza Tray Za Kutotesha Chakula Cha Kuku Hydroponics Foda
1/7
+
2
images
Dar es Salaam, Kinondoni
32 views
Tunauza Tray Za Kutotesha Chakula Cha Kuku Hydroponics Foda
+1
2
Brand New
Condition
Other
Type
Hydroponic ni nini?
Ni mbinu ya kukuza mimea kwa kutumia mchanganyiko wa virutubisho vya madini katika maji bila kutumia udongo. Mchakato huu huchukua siku 6 hadi nane kukamilika.
Kilo moja ya mbegu huzalisha wastani wa kilo 6 hadi kumi za majani na mizizi.
Faida za Teknolojia hii.