tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Agriculture & Food
  3. Farm Machinery & Equipment
Dar es Salaam, Kinondoni
36 views

Tunauza Tray Za Kuoteshea Hydroponics Fodder

+1
11
Brand New
Condition
Other
Type
TUNAUZA TRAY ZA KUOTESHEA HYDROPONICS FODDERS ✓Ni nafuu sana kulinganisha na garama za CHAKULA cha madukani au viwandani. ✓Hupunguza magonjwa ya mafua ✓kina protein na Energy/nishati nyingi zaidi mara 3 ya inayopatikana kwenye vyakula vya kawaida vya Mifugo kama kuku. ✓mifugo hukua haraka sana kutokana na wingi wa protein ambayo hufanya Kazi ya kujenga mwili na kukua. ✓CHAKULA hiki Ni laini sana na kitam kwa kuku na Mifugo yote (palatable). ✓mmeng'enyo wa chakula hiki huongezeka kutoka 30% kwa CHAKULA cha kawaida hadi 95% kinyesi na usumbufu wa usafisaji banda. ✓kinyesi hupungua na kuwa kati ya 5%-10% tu kwani CHAKULA kingi humeng'enywa na kutumiwa na mwili wa Mifugo. ✓mazao kama mayai au maziwa huongezeka kwa 40% kulinganisha na chakula cha kawaida. ✓kiini cha yai la kuku anayelishwa hydroponic fodder huwa cha njano sana hata kama Ni kuku wa kisasa. ✓Hupunguza garama za ufugaji kwenye manunuzi ya chakula kwa 50-75% hivyo kuongeza
TSh 3,000
1 Feedback view all
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • First, check what you're going to buy to make sure it's what you need
  • Only pay if you're satisfied