Tunauza rice milling machine.
●hii ni mashine maalumu ya kukuboa mpunga .
inakoboa 200kg kwa saa.
inatumia umeme wa majumbani(single phase).
inauwezo wa kufanya kazi muda masaa 12.
imeundwa na vyuma vigumu na imara .
nirahisi kuitumia.
inatoa mchele katika hali ya usafi.
tupo dar es salaam
(tegeta)
tuna mawakala mikoani kote .