Tunauza Mashine Za Kupukuchulia Mahindi Na Mazao Mengine 7
1/8
+ 3
images
Dar es Salaam, Kinondoni, 07/07
22 views
Tunauza Mashine Za Kupukuchulia Mahindi Na Mazao Mengine 7
+1
Other
Type
Brand New
Condition
mashine ya kisasa ya kupura na kupepeta mazao (multifunction threshing machine)
je, bado unapukuchua mahindi au kupura mazao kwa mikono? okoa muda, nguvu na gharama kwa kutumia mashine yenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi kwa haraka na ufanisi.