Tunauza Mashine Ya Kuchakata Malisho Ya Mifugo #Chaffcutter
1/2
Dar es Salaam, Kinondoni, 21/05
8 views
Tunauza Mashine Ya Kuchakata Malisho Ya Mifugo #Chaffcutter
+1
1
Brand New
Condition
Other
Type
Yes
Warranty
24month
Warranty Period
Tunauza mashine za kuchakata malisho ya mifugo kama vile kuku.
Mashine hii inauwezo wa kuchakata mabua na majani hadi kuwa vipande vidogo dogo sana.
Inauwezo pia wa kusaga magunzi,mahindi,mashudu na material mengineyo yanayotumika katika kutengenezea chakula cha kuku hadi kuwa unga kabisa.
Inautumia motor pia ukitaka tukuwekee mfumo wa Engine tunakufungia.
Hakika hii mashine haijawai kutokea yenye ubora Mzuri kama hii new model.[visu imara,inabebeka,umemekidogo,haina makelele Inapiga hadi 4.5 Tonne kwa saa.
Utaipata mifugo plus Group kwa bei Sawa na buree.
Tucheki whatsapp tukutumie video uone jinsi inavyo fanya kazi065XXXXXXX