tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Agriculture & Food
  3. Farm Machinery & Equipment
Dar es Salaam, Kinondoni, 2 days ago
22 views

Tunauza Mashine Kwa Ajili Ya Kukata Majani Ya Mifugo Ng'ombe

+1
1
Brand New
Condition
Other
Type
Sasa tumekurahisishia lile zoezi la kukata ama kuchakata majani au malisho ya mifugo yako. MIFUGO PLUS tumekuletea Grass chopping machine au chaff cutter machine. Hiii ni mashine ambayo hutumika kukata majani kwa vipande vidogovidogo sana hasa majani ya ng'ombe. Chaff cutter hizi zinauwezo wa kukata majani marefu na mapana hadi kuwa vipande vidogo vidogo kabisa kama njiti zinauwezo wa kukata maajani mabichi na yaliyo makavu zaidi ya tani moja kwa lisaa. Chaff cutter hizi zipo zenye uwezo wa kukata kata hadi vijiti vikavu pamoja na magunzi hadi kuwa unga kabisa. FAIDA ZA KUCHAKATA MAJANI HADI VIPANDE VIDOGO DOGO. -Ng'ombe hula majani ya kutosha maana hatumii muda mwingi kutafuna mdomoni. -Husaidia umeng'enywaji wa chakula kwenda haraka sana. -Huongeza ukuaji na uzalishaji wa maziwa na nyama.
TSh 1,700,000
2 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • First, check what you're going to buy to make sure it's what you need
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif