tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Agriculture & Food
  3. Farm Machinery & Equipment
Dar es Salaam, Kinondoni
10 views

Tunauza Chicken Nipples Cup Drinker Syestem.

+1
Brand New
Condition
Drinkers
Type
TUNAUZA CHICKEN NIPPLES CUP DRINKER SYESTEM. FAIDA ZA NIPPLE DRINKER:- 1) Kinyesi hakichanganyiki na Maji hivyo maji huwa safi muda woote na Hupunguza uwezekano wa kuku kupata magonjwa au maambukizi ya magonjwa maana maji yanakua ndani ya ndoo na yanatoka kidogo kidogo kama matone pale Kuku anapo igusa nipple. 2) Zinafaa kwa brooding area (eneo lilotengwa kwa kuwahudumia vifaranga). 3) Kuku hawachafui banda kwa kumwaga maji. 4) Hunywesha maji wengi kuku na Hupunguza ukubwa wa kazi, kwamaana hukuna tabu ya kuziosha drinker zako kila siku, kwani kuku hawezi chafua maji yalio ndani ya drinker hii. 5) Huepusha magonjwa yatokanayo na kuchanganyika kwa kinyesi na maji. 6) Ni rahisi sana kutumia, mana utakuwa unajaza maji tu kwenye chombo/drinker na kuendelea na shughuli zingine. 7) Ni imara sana, hudumu muda mrefu bila kuharibika. 8)Hubeba maji mengi kwa wakati mmoja,hivyo unaweza kukaa siku 3 na . NB: nipple zetu ninakuja na rubber pamoja na lock hivyo ni rahisi sana kuzifunga.
TSh 3,000
1 Feedback view all
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • First, check what you're going to buy to make sure it's what you need
  • Only pay if you're satisfied