Mfugaji kwanini unapaswa utumie cage's ?
1. Cages zinakusaidia kuweza kufuga kuku wengi katika
eneo dogo.
2.Cages zinakusaidia kupunguza gharama za chakula,
Kwa maana ni kiasi kidogo cha chakula ndio hupotea
5. Cages zinakusaidia kukusanya kwa urahisi mbolea
itokayo kwa kuku wako na kuiongezea thamani, hii ni
kutokanana cages kuwa na mfumo mzuri wa ukusa
6. Cages zinakusaidia kuokoa hadi 75% ya muda
unaotumia kuhudumia kuku wako. Hii ni kutokana na
cages kuwa na mifumo mizuri ya Chakula, maji, na
mbolea.
7. Cages zinakusaidia kujua idadi ya kuku wako,
kwamaana ni rahisi kuwahesabu kuku wakiwa kwenye
cages, ukilinganisha na kuku wasio kwenye cages.
Hii pia inakusaidia kugundua kwa haraka kama kuna
wizi wowote uliotokea.
8. Cages zinakusaidia kuzuia kuku kupatwa na
magonjwa.
9. Mabanda haya yamewekwa katika mfumo ambao
kuku hazunguki sana, inamaana anakuwa na eneo dogo
linasababisha aweze kutaga sana.
Kwasababu virutubisho vingi anavyokula vinaenda
katika utengenezaji wa mayai.