tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Agriculture & Food
  3. Farm Machinery & Equipment
  4. Farm Cages
Dar es Salaam, Kinondoni
127 views

Tunauza Cages Za Kuku Wa Mayai

+1
5
Brand New
Condition
Cages
Type
Aluminium, Alloy Steel
Materials
Silver
Color
Chicken Cages
Cages Subtype
Mfugaji kwanini unapaswa utumie cage's ? 1. Cages zinakusaidia kuweza kufuga kuku wengi katika eneo dogo. 2.Cages zinakusaidia kupunguza gharama za chakula, Kwa maana ni kiasi kidogo cha chakula ndio hupotea 5. Cages zinakusaidia kukusanya kwa urahisi mbolea itokayo kwa kuku wako na kuiongezea thamani, hii ni kutokanana cages kuwa na mfumo mzuri wa ukusa 6. Cages zinakusaidia kuokoa hadi 75% ya muda unaotumia kuhudumia kuku wako. Hii ni kutokana na cages kuwa na mifumo mizuri ya Chakula, maji, na mbolea. 7. Cages zinakusaidia kujua idadi ya kuku wako, kwamaana ni rahisi kuwahesabu kuku wakiwa kwenye cages, ukilinganisha na kuku wasio kwenye cages. Hii pia inakusaidia kugundua kwa haraka kama kuna wizi wowote uliotokea. 8. Cages zinakusaidia kuzuia kuku kupatwa na magonjwa. 9. Mabanda haya yamewekwa katika mfumo ambao kuku hazunguki sana, inamaana anakuwa na eneo dogo linasababisha aweze kutaga sana. Kwasababu virutubisho vingi anavyokula vinaenda katika utengenezaji wa mayai.
TSh 650,000
1 Feedback view all
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • First, check what you're going to buy to make sure it's what you need
  • Only pay if you're satisfied