Sample nzuri ya kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia drip lines ili kurahishisha umwagiliaji wa kisasa katika mazao kama mahindi,bustani za maua,miti ya kivuli na maeneo ya mandhari ya nje ili kuimarisha ukuaji wa mimea na kuzuia maji kupotea kwa wingi.