hii ni mashine ya kusaga chakula cha mifugo
mashine hii inasaga magunzi,pumba,mashudu,majani makavu na mabichi
inatumia umeme na pia za mafuta zipo
ni combine machine yenye roller
inafanya kazi zaidi ya tatu kusaga,kukatakata majani,nk
ina motor kubwa na imara zaidi kuwahi kutokea
ni ngum mno ipo na warranty wa mwaka mmoja