Jipatie TEMPERATURE CONTROLLER Mahususi kwa Ajili Ya Kucontrol Taa Za Joto Bandani Kwako
Ina weza Kuzima na Kuwasha Taa Za Joto Pindi Joto linapozidi Au Pungua kiwango kinachohitajika (Threshold Value)
Inakusaidia Kubalance Matumizi Ya Umeme hasa kwa taa zenye Power Kubwa Zaidi (High Power Rating)
Ni Rahisi Kutumia
Tupigie ili uweze kupata sasa.