Karibuu JEFF AGRICULTURE FARM ujipatie Taa maalum za kulelea vifaranga wako kwa kuwapa joto lakutoshaa na la uhakika sanaa kwani Taa mojaa inatoshea vifaranga 100+ na pia Taa hizii zinasaidia kupunguza stress kwa vifaranga wako bandani ni nzuri na imara sanaa