*incubator machine mayai 30
*ni full automatic incubator machine
*inatunza joto kwa masaa 8 endapo umeme ukikata
*ina display maalum inayo onesha kiwango sahihi cha jotoo na unyevu
*inageuza mayai yenyewe
*inatumia umeme wa kawaida na solar system battery