*Ni incubator machine inayo tumia umeme wa kawaida TANESSCO na kama umeme ukikata unaweza kutumia kwa solar system BATTERY
*Inageuza mayai yenyewe automatic
*Inajicontrol automatic joto na unyevu
*Inatunza joto kwa masaa 8 endapo umeme ukikata
*Ni fully automatic kila kitu
*Ina tochi maalum ya kupimia mayai mabovu na mazima
*Inazawadi ya vyombo vya kuanzia Kufugia kuku kama feeder na drinker
*Ngumu na imara zaidi
*Ufanisi wake ni 98%