Hutumika kusambaza maji kwa mduara wa 360 au nusu mduara wa 180, kunyunyizia maji kwa umbali mrefu, kudhibiti mwelekeo wa maji, kufanya kazi kwenye pressure kubwa na kutoa maji kwa usawa ni nzuri katika matumizi ya kilimo, bustani, mifugo na viwanda vya kupunguza vumbi na kusafisha maeneo makubwa katika shughuli za umwagiliaji.