Hizi zinapatikana kwa Mita 1000 na Mita 2000 ni nzuri kwa kuruhusu maji kutoka polepole kwenye udongo na kutumika kwenye bustani na mashamba madogo kwa umwagiliaji wa kudumu kwa sababu huokoa maji na kupunguza magugu kwa sababu maji yanaenda moja kwa moja kwenye mizizi.