Hizi ni kuanzia size robo tatu mpaka Inche tano na hii ni bei ya Inche moja na nusu ni nzuri na imara sana kwa kufunga na kufungua kulingana na size zake na namna zinavyofanya kazi kudhibiti na kuruhusu mtiririko wa maji kwenye mifumo ya umwagiliaji zinapatikana kwa size zote karibuni sana.