Hii husaidia kulisha maji kwa ufanisi bila kupoteza maji mengi na nzuri katika bustani,kuoteshea mbegu na katika mashamba ya kawaida ili kusaidia kukuza mazao kwa ubora na yenye afya wakati wa utumiaji pia hutumika kwenye vitalu vidogo na kuokoa nafasi ya kupoteza maji na muda mwingi.