Zipo kuanzia matundu 21 mpaka matundu 288 zenye uwezo wa kuotesha mbegu nyingi za mazao na zenye ubora hufaa kwa indoor farming ndani ya greenhouse,shade nets au hata ndani ya chumba, husaidia kuotesha mwaka mzima hata wakati wa baridi au jua Kali na huwezesha kuchagua miche bora yenye afya na mingine mingi.