Ni nzuri haishiki kutu,nyepesi kutumia hutumika katika kilimo mashambani na hata katika umwagiliaji wa bustani nyumbani pia katika miche ya miti kulingana na ukubwa wa eneo husika na kiasi cha maji kinachotoka kwenye chanzo kwenye main lines wakati wa umwagiliaji.